prosper cliff JF-Expert Member Joined Jan 19, 2017 Posts 663 Reaction score 706 Sep 9, 2017 #1 kiwanja kinauzwa Luchelele mwanza kina urefu 64 na mapana 35 Sent using Jamii Forums mobile app
prosper cliff JF-Expert Member Joined Jan 19, 2017 Posts 663 Reaction score 706 Sep 9, 2017 Thread starter #2 Namba ya simu 0766371956/0625783808 karibuni sana Sent using Jamii Forums mobile app
K kiwa khalid JF-Expert Member Joined Apr 14, 2015 Posts 636 Reaction score 534 Sep 9, 2017 #3 Weka bei Sent using Jamii Forums mobile app
Ze Heby JF-Expert Member Joined Jun 22, 2011 Posts 5,868 Reaction score 6,620 Sep 9, 2017 #4 Hivyo vipimo ni katika units gani mita,futi? Weka bei na eleza kama kimepimwa au laah Ukiweka picha itakua vizuri zaidi
Hivyo vipimo ni katika units gani mita,futi? Weka bei na eleza kama kimepimwa au laah Ukiweka picha itakua vizuri zaidi
prosper cliff JF-Expert Member Joined Jan 19, 2017 Posts 663 Reaction score 706 Sep 10, 2017 Thread starter #5 kiwa khalid said: Weka bei Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Piga namba hii utajibiwa 0766371956 Sent using Jamii Forums mobile app
kiwa khalid said: Weka bei Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Piga namba hii utajibiwa 0766371956 Sent using Jamii Forums mobile app
Mla Bata JF-Expert Member Joined Jan 24, 2013 Posts 8,194 Reaction score 18,849 Sep 10, 2017 #6 Bila picha kuelewa kwetu ni ngumu sana.
M money agenda JF-Expert Member Joined Feb 17, 2017 Posts 250 Reaction score 192 Sep 10, 2017 #7 prosper cliff said: Piga namba hii utajibiwa 0766371956 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Weka taarifa zote kwenye tangazo lako mtu ahamasike, mf. kimepimwa ama la, unapokimbilia kuwambia watu wapige simu umewapa vocha?
prosper cliff said: Piga namba hii utajibiwa 0766371956 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Weka taarifa zote kwenye tangazo lako mtu ahamasike, mf. kimepimwa ama la, unapokimbilia kuwambia watu wapige simu umewapa vocha?
Ze Heby JF-Expert Member Joined Jun 22, 2011 Posts 5,868 Reaction score 6,620 Sep 10, 2017 #8 prosper cliff said: Piga namba hii utajibiwa 0766371956 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Basi tangazo lako ungeweka huko huko kwenye simu Kama umelileta hapa inakubidi uelezee kila kitu waziwazi
prosper cliff said: Piga namba hii utajibiwa 0766371956 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Basi tangazo lako ungeweka huko huko kwenye simu Kama umelileta hapa inakubidi uelezee kila kitu waziwazi