Nafasi za Pre Form One kwa Wanafunzi waliomaliza Darasa la Saba

Nafasi za Pre Form One kwa Wanafunzi waliomaliza Darasa la Saba

Abtali Mwerevu

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2013
Posts
795
Reaction score
704
Masomo ya Pre - form one yameanza kwa wanafunzi waliomaliza darasa la saba. Wazazi na walezi mnatangaziwa kuwaandikisha watoto wenu kituoni kwetu, EBENEZA ACADEMY.

Pia, Tunafundisha wanafunzi wote kuanzia kidato cha kwanza mpaka cha sita. Kwa masomo yote ya sayansi, Sanaa na biashara. Vilevile nafasi chache zipo kwa ajili ya wanafunzi wa shule ya msingi. Tupo kinondoni Mwananyamala mkabala na shule ya Sekondari Kambangwa.
Mawasiliano: Call and WhatsApp 0754 89 53 21
Call only 0653 25 05 66
 
Back
Top Bottom