Nauza shamba langu lenye ukubwa wa Ekari ishirini. Lipo katika mkoa wa pwani, wilaya ya kibiti kata ya bungu. Bei ni 10,000,000. Mazungumzo yapo na unaweza Kulipia kwa awamu mbili. 0716548250
Habari wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji vyumba viwili na sebule ila viwe na mtiririko wa kuungana kwa mfano chumba sebule chumba viwe vinapatikana mtwara mjini yoyote mwenye...
Nauza kiwanja cha heka moja kipo Tabata Kinyerezi unashuka Kinyerezi Magengeni au stendi ya zamani kutoka hapo mpaka kwenye kiwanja ni kilomita 1 au kwa miguu dakika 25 kwa chombo cha moto dakika...
Kiwanja kinauzwa kibaha picha ya ndege upande wa kutoka mjini(sofu)kina ukubwa wa sqmeters 669 yaani 40 x 17 kimepimwa na kina hata miliki na hakidaiwi kodi.
Hakuna dalali, kwa mawasiliano...
nkienda insta naona 55,000 tshs...
nlivyopita kkoo kuna mtu akanambia 18,000 ila hakunionesha (sikuiona)
kwa anaejua bei yake inarange vipi,nsije pigwa
Zipo ekar 40 miti INA umri Wa mwaka mmoja
Bei ya kila ekar ni tsh 300000 pamoja na Ardhi
Shamba lipo kijiji cha MFIRIGA ktk mkoa Wa Njombe
Kwa mawasiliano zaidi nipigie
0764426929 au 0655726929
Lutaingia Lita 2000
Halina demage yeyote
Halijawahi kutumika/Halijapauka
Limeshatobolewa cock ya kutolea maji.
Unaweza ukapata na sehemu ya pipe yake yenye urefu wa kama mita 4
Bei 200000
Karibuni...
Habarini za kuamka wana JF, mm nimefungua saloon ya kike Nyamongo Tarime, ninatafuta mfanyakazi ambae naweza kufanya nae kazi kwa uaminifu, ntamwachia Saloon ataiendesha mm ninajishughulisha na...
Friji brand BEKO linafanya kazi vizuri ....lina sehem ya friji na freezer
Being 450k
Kiitanda cha mninga 6*6 godoro nchi 8 kwa laki 350K
Kabat la nguo #mchina lina marekebisho kidogo...
Nina uhitaji mkubwa sana wa gari aina ya NOAH ivyo kwa yeyote ambaye ana aina iyo ya gar ani PM haraka sana, ila iwe kwenye hari nzur ofa yangu ni M6 mpaka M6.5 au mnitafute kwa no 0715 546818...
Kwa wajasiriamali mashine ya kuoka mikate inayotumia mkaa kidogo tu yaani wa tsh 500/= inauzwa.
Ni mashine ya kuoka mikate na keki,mashine inapatikana tabora kwa wateja wa mikoani unatumiwa mpaka...