Music system(sea piano)

Music system(sea piano)

vunnja

Member
Joined
Sep 16, 2017
Posts
86
Reaction score
20
4f0becaa46c34130374b7a0e541a82f4.jpg

500,000/=
Delivery in dar na mikoani tunatuma pia
0717-062242
Tupo k.koo(china plaza)
 
Hamjui model gn wala size yke
Mna doubt kuwa bei kubwa,hapn mko wrong bhn
Tatizo letu wabongo mtu akiwa ana duka la vifaa vya electronics au simu anajifanya anajua kila kitu mm uwa nawaangalia tu mnaleta ujuaji kwa vitu vilivyotengenezwa na wengine
 
Ruksa mkuu kwenda kununua kwa bei ya 300k
 
Kuwa na maneno ya hekima kama kweli uko serious na biashara yako. Kuna wateja watakuwa wanakupika tuu kama ni mstaarabu kwenye maneno basi wanaamin hata kwnye kukukabidhi mkwanja utaonyesha hekima.
Take it from me!
 
Tatzo lko wew unacomand bei yng na uitakayo wew dats y hvyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom