Nahitaji kinanda kwa anayeuza

Nahitaji kinanda kwa anayeuza

Leo Asubuhi

Member
Joined
Apr 5, 2017
Posts
64
Reaction score
43
Ndugu zangu, kanisa limeanzishwa, waumini wamejichanga na mimi nimekabidhiwa fedha kwa ajili ya kununua Kinanda nauliza bei ya Kinanda 450 na 770 au zaidi tukikubaliana tufanye biashara.
 
K
Ndugu zangu, kanisa limeanzishwa, waumini wamejichanga na mimi nimekabidhiwa fedha kwa ajili ya kununua Kinanda.
Nauliza bei ya Kinanda 450 na 770 au zaidi. Tukikubaliana tufanye biashara.
Kanunue mkuu, achana na used
 
Back
Top Bottom