Vyumba vinapatikana mabibo

Vyumba vinapatikana mabibo

ba nso

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
668
Reaction score
225
Single room kodi ya mwaka mabibo near Nit barabarani na rahisi kufika fense, maji na pasafi Panahitaji vijana wasio na familia hakuna kulipa pesa ya dalali. 60,000. PM
 
Why wapangaji wengi hawataki familia, wanapenda zaidi bachelor??
 
Why wapangaji wengi hawataki familia, wanapenda zaidi bachelor??
Ha ha sasa kama na wao wanavijana wasio na familia?????. Kwa maneno mengine nenda ukiwa single utarudi na mwenza ova[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Why wapangaji wengi hawataki familia, wanapenda zaidi bachelor??
Usumbufu......wati wenye familia huwa wanachosha nyumba haraka.....uchavuzi wa mazingira....kelele za watoto ....matumizi mabaya ya umeme na maji na kadhalika.....me ni baba mwenye nyumba so ninaongea kwa uzoefu
 
Utazania ulikuwa kwenye nyumba ya Babako ...!
 
Utazania ulikuwa kwenye nyumba ya Babako ...!
Utazania = utadhania.

Acha ujinga wewe......

Unadhani kila anayetoa comment hapa JF ni mtoto wa mama na kula kulala kwa wazazi mwenzako kama wewe. Shuwaini black bastadi mkubwa wewe
 
Back
Top Bottom