Mlendamboga
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 668
- 347
Atakayefika Julai hapa mjini ni mwanaume!!!!! Tumeanza kupunguza mizigo turudi kijijiniVyuma vimekaza!
Duuh aisee bei mkaa lkn punguza tufike!!Atakayefika Julai hapa mjini ni mwanaume!!!!! Tumeanza kupunguza mizigo turudi kijijini
Kiongozi hapo imepungua sana wewe jikusanye leta mzigo,Duuh aisee bei mkaa lkn punguza tufike!!