Ninakodisha banda la nguruwe kiromo bagamoyo

Ninakodisha banda la nguruwe kiromo bagamoyo

Susan85

Member
Joined
May 23, 2017
Posts
86
Reaction score
19
  1. Karibuni sana katika ufugaji wa nguruwe nina banda kubwa la mabanzi bagamoyo kiromo lenye tayari umeme wa solar na maji ya kisima na tank lenye litre 5000ltr.vijana wawili wenye ujuzi wa ufugaji nguruwe,waaminifu na wachapakazi wapo pia wakuweza kuwajiri.ninakodisha 700,000 kwa mwezi.atakayekuwa interested tunapenda tuingie mkataba wa mwaka moja.mawasiliano zaidi whatssap 0756661761 au 0627840045.karibuni sana.

    ReportEditDelete
    + QuoteReply
1606162636465
 

Attachments

  • 2671012.jpg
    2671012.jpg
    15.3 KB · Views: 45
  • IMG_20170713_154715.jpg
    IMG_20170713_154715.jpg
    51.2 KB · Views: 42
Back
Top Bottom