Nahitaji mashine ya kutengenezea tofali na kuchanganyia zege.

Green pasture

Member
Feb 14, 2017
38
6
Habari wakuu.



Nina uhitaji mkubwa wa mashine tajwa hapo juu.

Nahitaji zinazotumia umeme. Naomba kwa wauzaji waliopo Arusha/Moshi ili kuokoa gharama za usafirishaji.


Asanteni
 
Back
Top Bottom