Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wadau habari. PC yangu ni DELL LATITUDE E6410. Jumba (housing) linaloshikilia kioo chake limechoka sana. Naomba kama kuna mtu anaweza nisaidia nipate spea yake tuwasiliane kwa namba 0785777710...
0 Reactions
1 Replies
716 Views
Madalali tuungane, niko Arusha... tupanue network zetu tafadhali.. Post kazi uliyonayo hapa tusaidiane kutafuta wateja Ila uaminifu Kwanza.. Asante.. nifollow instagram @Dalali_arusha01...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Jipatie MiFi kutoka kampuni ya smile telecommunications yenye uwezo wa kuconnect devices 10 kwa wakati mmoja na wote mkafurahia kasi ya ajabu. Rangi ni nyeusi na nyeupe Tsh 115,000/= + 10 Gb kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
**Offer offer offer 1. lipia Canal miezi miwili kwa 40,000/= kila mwezi. 2. Utapata wiki mbili za kifurushi EVASION+ Yenye A+ SPORT Channel number 101. Malipo ya kawaida Axcess = 20,000/=...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Karibu kwa wataalamu wa ujenzi wa Ofisi Na MADUKA yakisasa mjini, tunafanya Kazi Na clients kuanzia design stages to implementation, tunatoa huduma nyingine Kama Arch. visualisation Na product...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Bei ni 5m tu. Gari ipo katika hali nzuri sana. Nipigie... 0716548250
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nauza mashine hii ya kukatia aluminium bei 270000/ Mashine ni nzima Njoo ujipatie Napatikana dar 0715591141 kwa mawasiliano zaidi Ova
0 Reactions
0 Replies
6K Views
used but in very good condition location Dar es salaam upanga 0713430829 only 17,000,000/=
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Bei chee tu haina kasoro GB 16 Ram 2 GB Camera 13 MP Duos Betri 4000mAh Full kipupwe njoo ukague kabsa kama ikiwa na kasoro nakupa garama za usumbufu Tsh.250000
0 Reactions
3 Replies
918 Views
habari zenu wapendwa? tunauza Mashine za kuangulia vifaranga(Incubator) bei poa pia ni automatic,,na zinaanzia mayai 50-1000. pia tunatoa elimu ya matumizi na ya uifadhi wa mayai...karibuni sana
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari za humu wanajukwaa! Natumai wote mko salama na mnaendelea vizuri na majukumu yenu ya kila siku ya kuhakikisha mnakuwa na Maisha bora.Nahitaji msaada wa nyumba ya kupanga lkn maeneo ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
GOOD HOPE SECONDARY SCHOOL, INAPENDA KUWATANGAZIA NAFASI ZA MASOMO KWA KIDATO CHA KWANZA KWA MWAKA 2018, Pia ina nafasi kwa kidato cha pili, cha tatu na cha nne. NI SHULE NZURI NA YENYE...
0 Reactions
2 Replies
883 Views
TUITION TUITION TUITION. KWA WANAFUNZI WOTE WALIOKO KAGONGWA, MPERA, ISAGEHE NA BUGISHA NA MWALUGULU MNAKARIBISHWA MASOMO YANAYOFUNDISHWA NI, PHYSICS CHEMISTRY BIOLOGY KISWAHILI HISTORY GEOGRAPHY...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habarini wana jf, Kutokana vyuma kukaza nimefikilia kuanzisha biashara ya zambalau ambayo itanisaidia kujikwamua na hii hali ngumu yasasa Anae yajua masoko plz, msaada
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nahitaji mashine kubwa yenye kuweza kuzalisha japo gunia kumi na tano hasi ishirini kwa siku na elimu yake nawakilisha
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Millage-63,000km CC-1290 New tyres Bima ina expire 30/6/2018 Bei 8.8m mazungumzo yapo Contact 0752140001 0715140001-watsap
3 Reactions
46 Replies
6K Views
Wakuu habari,nauza vifaa vya saloon ya kiume vilivyotumika, Kuna vitu viwili laki 4 Vioo vikubwa vya ukutani viwili laki Kitu sofa l watu wawili laki Vishelve vya ukutani vya kioo 10000 Note...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mtaalamu wa Mifugo anapatikana hapa dar. Anahudumia Mifugo yote ****. Mbwa Ng'ombe Mbuzi Kondoo Paka Kuku Bata Kanga. Ushauri pia anatoa bure. Karibu .
0 Reactions
1 Replies
664 Views
Habari. Anatafuta kazi ya kutibu Mifugo Kama. Kuku Ng'ombe Mbwa Paka Mbuzi. Ushauri pia anatoa ushauri kuhusu Mifugo. Jaribu.
0 Reactions
2 Replies
970 Views
Mwenye fridge size ya kati aina ya boss liwe la chini na sio la kusimama yaani namaanisha la biashara kwa ajili ya kupozea vinywaji nipo Morogoro kwa wiki hii then wiki ijayo nitakua Dar safari ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…