Natafuta kazi ya kutibu mifugo

Natafuta kazi ya kutibu mifugo

mkwangha

Member
Joined
Sep 27, 2014
Posts
39
Reaction score
27
Habari.
Anatafuta kazi ya kutibu Mifugo
Kama.
Kuku
Ng'ombe
Mbwa
Paka
Mbuzi.
Ushauri pia anatoa ushauri kuhusu Mifugo.
Jaribu.
 
Back
Top Bottom