Nahitaji mashine kubwa ya mkaa wa kisasa

Nenda sido kuna mzee anazitengeneza pale,inaweza tengeneza mpaka gunia 20 kwa siku
Bei anaanzia milion 5 lakini mnaweza kuelewana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom