ipo 300,000(laki tatu) cash mkuuView attachment 611509View attachment 611510View attachment 611511View attachment 611512View attachment 611513View attachment 611514View attachment 611515View attachment 611517
Mashine ipo sokoni wadau tafadhali kama utaiihitaji tuwasiliane kwenye nitakutumia picha zaidi na maelewano
Call: +255788822242
Jamani[emoji3]ipo 300,000(laki tatu) cash mkuu
Mkuu hayo ni malipo ya mchemsho na chapati mbiliipo 300,000(laki tatu) cash mkuu
vyuma vimekaza juzi nimechukua gari kali kwa 250,000Mkuu hayo ni malipo ya mchemsho na chapati mbili
nipo njiani naja mkuuKaribu PM
Jamii forum ni opposite ya minadani, wakat kule watu wnapandishiana bei, huku watu wanapunguziana bei.. atatokea mtu atasema laki 2[emoji23] [emoji23] [emoji23]ipo 300,000(laki tatu) cash mkuu
ok nakaribia...karibu tuyajenge