Dressing table inauzwa bei poa

Dressing table inauzwa bei poa

Bac3

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2016
Posts
392
Reaction score
437
IMG_20171011_172939.jpg
Dressing table table hii hapa chini inauzwa bei poa kabisa. Ni used ila inauzwa kwa sababu tu binafsi.
Bei take ni 200,000 ila punguzo lipo tu. Napatikana Temeke Dar es salaam.

Ukihitaji nitafute hapa 0653116399.
Siingii online Mara kwa Mara kwa ni vizuri ukanicheki kwenye simu tu.
 
Attachments

  • IMG_20171011_172834.jpg
    IMG_20171011_172834.jpg
    114.9 KB · Views: 74
Bado IPO punguzo LA nguvu lipo.nicheck hapa 00653116399
 
Acha utani mkuu used 200,000.? ebu sema kwanza features zake linaonekana sio la kawaida
 
Acha utani mkuu used 200,000.? ebu sema kwanza features zake linaonekana sio la kawaida
mkuu acha hizo mambo,wewe kama unaona huna hiyo hela sio lazima kucoment.mimi nimesema kiasi hicho ila pia inapungua .so kama una chini ya hiyo hela sema una ngapi usikilizwe ila sio kuharibu tangazo la mtu. dukani ni 200 mpaka 250. s0 mimi ni 200 kushuka chini. najua ninachofanya mkuu
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] unajitekenya na kucheka mwenyewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom