Natafuta calculator inayoongea (Talking Calculator)

Natafuta calculator inayoongea (Talking Calculator)

Turudi pale Rau Madukani

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2016
Posts
2,782
Reaction score
5,871
Habari wadau na pole na kazi.
Kuna calculator fulani zenyewe huwa zinaongea kwa kila kitufe unachobonyeza ili kumsaidia mtu mwenye uono hafifu au asiyeona kabisa kujua anachofanya.
Kwa yeyote anayejua zinakopatikana bila kusahau bei yake. Kuna moja niliiona miaka mitano iliyopita ilikuwa na ukubwa wa simu ya mezani.
Nipo DSM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom