tax compliant
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 1,211
- 1,200
Wakuu habarini za jioni?
Mimi ni muhitimu (bachelor in taxation) na nina uzoefu sana na sheria za kodi kwani mbali na kuzisoma kinagaubaga darasani kwa miaka mitatu pia nimefanya kazi na TRA hivo ninapenda kuwatangazia wale wote wanaojishughulisha na biashara au kazi zinazohusisha kodi kuwa natoa ushauri buuureee (free tax consultancy) ili kupunguza usumbufu na mamlaka husika lakini pia kupunguza gharama za uendeshaji wa biashara! Hii ni kwa sheria za kodi zote (EACCMA, VAT Act, INCOME TAX Act, TAX ADMINISTRATION Act lakini pia Finance act Re 2015).
Karibuni PM