habari wadau..
huu ni mnada huru.. nahitaji tv kwa ajili ya glossary yangu inch 42 au 43..
kwa mnaouza tv.. njooni hapa mueleze una tv ya aina gani na unauzaje.. na imetumika muda gani...
ni...
Sasa unaweza kutangaza bidha zako unazo uza bure na kwa urahisi kabisa na Kilizone huna sababu ya kuangaika kilizone itakupatia maelfu ya wateja kutoka Africa mashariki bure kabisa bila garama...
MASHINE YA KUCHORONGA MIAMBA
MASHINE YA UPEPO MGODINI KWAKO: Je, una mgodi au ninyi ni wachimbaji wadogo wadogo mko kwenye uzalishaji lakini mnakabiriwa na changamoto ya ukosefu wa mashine ya...
Rejea kichwa cha habari hapo juu, nauza kuku wa kienyeji.
Napatikana Shinyanga, kwa mlioko nje ya shinyanga naweza kukusafirishia mzigo iwapo tutafukia makubaliano. Kwa mawasiliano zaidi njoo PM.
Tunatengeneza na tunauza chauro za kihindi.Ni tamu,crunchy na fresh tena.
Zinapatikana kwa miatano tu katika ujazo unaoridhisha kabisa.
Ingredients: pepeta,karanga,majani ya mvuje,dengu,crips za...
TUNAFUFUA SEBULE YAKO BILA STRESS UTAPATA VITU VYAKIBABE LATEST N ORIGINAL VYOTE VIKIWA BRAND-NEW WITH GUARANTE
TUNA TV ZA LED FULLHD SMART&3D UHD 4K N CURVED&OLED
KWANZIA 24INCH MPAKA 88INCH
TV...
Kuna nyumba ina room tatu mbili zimeelekea barabarani za biashara na kimoja cha kuishi viko arusha maeneo ya mianzini Kwa mawasiliano call me 0621068338,
Wadau waliopo Iringa pata movies mpya kama The Hitmans Body Guard (2017) Bad Actress (2017), na series kama arrow season zote 1-6,better thing season 1-2,gotham season 4, scandal US Season 7 Na...
FULL HD
LED
HDMI_PORT 2
USB PORT
WI-FI
ANDROID
50"
1,500,000/=
#0717_062242
#0757_562378
DELIVERY IPO KWA DAR NA MIKOANI TUNATUMA PIA_(ni uhakika kufikishiwa mzigo)
TUPO K.KOO CHINA PLAZA
KARIBUNI...
Asante kwako wewe uliyetumia japo dakika kufungua huu uzi. Belle/frida Co.ltd ni wasambazaji na wauzaji wa maharage yenye ubora wa hali ya juu. Aina za maharage tulizonazo kwa sasa ni :
1)...
This is Martin from Taibo beauty electronic technology company ,we are manufacturer of the beauty machines .
Now ,There a big discount on the machine .
1.You can get one Dermabrasion machine...
Wadau natumai wote hamjambo!
Nauliza wapi nitapata nguo nzito nzito za kuvaa wakati wa baridi kwa jumla nije niuze rejareja? Nipo njombe!!
Tusaidiane kujiajiri
Shukrani wakuu
Wanajukwaa hii inaweza kuwahusu kwa aslimia kubwa wakazi wa dodoma mjini na viunga vyake nina magunia 5, ya mahindi ninauza ninapenda kwa mnunuzi aliepo maeneo ya dodoma atakae kuwa tayari kununua...