Nguo za baridi.


A

anamila

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2017
Messages
229
Likes
340
Points
80
A

anamila

JF-Expert Member
Joined Apr 7, 2017
229 340 80
Wadau natumai wote hamjambo!

Nauliza wapi nitapata nguo nzito nzito za kuvaa wakati wa baridi kwa jumla nije niuze rejareja? Nipo njombe!!
Tusaidiane kujiajiri
Shukrani wakuu
 

Forum statistics

Threads 1,251,863
Members 481,917
Posts 29,788,114