elibarikimollel310
Senior Member
- Oct 9, 2017
- 136
- 101
Kuna nyumba ina room tatu mbili zimeelekea barabarani za biashara na kimoja cha kuishi viko arusha maeneo ya mianzini Kwa mawasiliano call me 0621068338,
[emoji1] inarangi nzuri sana .Nyumba nzuri sana
hata mazingira ya nje yako poa[emoji1] inarangi nzuri sana .
Tupia kapicha sasa, usiisifie tu.Nyumba nzuri sana
Tupia kapicha sasa, usiisifie tu.
Na hiyo id ni yako pia?
Hapana ni soko LA kawaida,Zinauzwa kwa mnada!!?.