Natafuta used Tv inch 42 au 43.. isiyozidi laki 6...


F

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Messages
2,772
Likes
7,403
Points
280
Age
28
F

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2011
2,772 7,403 280
habari wadau..

huu ni mnada huru.. nahitaji tv kwa ajili ya glossary yangu inch 42 au 43..

kwa mnaouza tv.. njooni hapa mueleze una tv ya aina gani na unauzaje.. na imetumika muda gani...

ni vizuri maelezo yakawekwa hapa hapa sio pm.. ili nijiridhishe ipi itanifaaa...

angalizo sio kisa nimesema laki 6.. ndio iwe fixed hata mtu aliyekuwa na tv yake anauza laki 3... nae akapanda hadi laki 6 yangu... sema bei yako uliyopanga kuuza toka mwanzo... so wa laki 3,4,5 wote mnakaribishwa pia

transparent ni kitu muhimu kwenye biashara ya used product ndio maana pm sitaki...

na ushauri pia unakaribishwa
 
greybakuza

greybakuza

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2016
Messages
485
Likes
589
Points
180
greybakuza

greybakuza

JF-Expert Member
Joined Jan 8, 2016
485 589 180
Jichange tu ukanunue tv mpya.
 
Hajto

Hajto

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Messages
2,179
Likes
1,051
Points
280
Age
29
Hajto

Hajto

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2013
2,179 1,051 280
Ukipata nasi tupe mrejesho nami nahitaji ila mie nahitaji inchi 32
 
funzadume

funzadume

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2010
Messages
8,036
Likes
4,017
Points
280
funzadume

funzadume

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2010
8,036 4,017 280
ongeza kilo 2 hapo uwe na laki nane ukachukue TCL TV hutojutia
 
jiwelampaka

jiwelampaka

Senior Member
Joined
Jul 8, 2017
Messages
106
Likes
44
Points
45
jiwelampaka

jiwelampaka

Senior Member
Joined Jul 8, 2017
106 44 45
Kwel mkuu wawek na pic me mwenyw nampang wa kuingia shop lkn nikipta bomba hap hap panatosha
 
MZEE MSASAMBEGU

MZEE MSASAMBEGU

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Messages
2,743
Likes
2,392
Points
280
MZEE MSASAMBEGU

MZEE MSASAMBEGU

JF-Expert Member
Joined Apr 19, 2013
2,743 2,392 280
Nenda dukani kanunue mpya,usipofuata huu ushauri utajutaa
 

Forum statistics

Threads 1,250,505
Members 481,371
Posts 29,736,016