Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

SAMSUNG 9.0kg WF906U4SA** ecobubble Technology digital inverter motor Sh.1000,000 Used ni sawa na mpya, Ukitaka ni PM.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari kama kichwa cha habari kinavyojieleza naitaji sofa nzuri za kisasa nipo mbeya kama kuna fundi au mfanyabiashari wa sofa anaweza nicheki pm nimpe number ya whatsapp anitumie picha Asante
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Full boxed Original Samsung Galaxy Note 3 Neo N750 Mobile Phone Quad Core 5.5" 8MP 3G 16GB.... 350k
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari Nauza router wi fi ya huawei imesajiliwa kwa kampuni ya safaricom Model: E5573Cs-322, Network:4G Condition: Locked, bado mpya Bei: Tsh 80,000 maongezi yapo Hotline: 0755 411 455...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nina unlocked Samsung Galaxy S4 (SGH-I337) Internal Storage Space - 16 GB (+ microSD Slot Expandable up to 64GB) RAM - 2 GB 13 Megapixel Camera Originally ilitumika kwa mtandao wa AT&T huko...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu habari, ningependa kufahamishwa sehemu ambapo hizi packages (cups) za juice na hiyo ya hot chocolate zinapatikana ikiwezekana na bei zake N.B: (zilizo tupu kwa ajili ya biashara /brand...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Tupate kwa Whatsapp no: +255768829357, Email: frankmartha955@gmal.com na instagram DM e_graphicstz, gharama ya huduma zetu ni affordable kwa kila mtanzania wa kawaida. Mfano wa kazi zetu:
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu , premio nyeusi kuanzia no DF... mileage chini ya 90k inahitaji haraka ndani ya wiki kuanzia sasa bajeti btn 8M-9M
0 Reactions
6 Replies
986 Views
Nahitaji mwenye nayo au kujua wapi nitaweza kupata housing original ya nokia c2-01. Nimehangaika bila mafanikio. Nikiweka hizi za kichina za elfu 3 button zinakataa kabisa kupiga kazi. Shukrani zangu!
0 Reactions
0 Replies
591 Views
Inafaa kwa matumizi ya photography na videography ktk mazingira tofauti tofauti. Features; 1.black, useful kublock unwanted light towards your subject 2.white, useful to add brightness to your...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nipo Dodoma ninauza vitambaa vya kufuma kwa bei poa jumla na rejareja.. N.B Natengeneza mwenyewe hivyo tukiongea unaweza kuletewa kwa bei poa kulingana na makubaliano pia unaweza kuweka order ya...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Wanajamvi ni maeneo gan kwa hapa dsm naweza peleka pop corn na ikatoka kiurahisi??
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kama ni mfanyabiashara au mnunuzi umekuwa ukisunbuka sana kujua thamani ya sarafu fulani, huenda ikawa umeona bidhaa online kwa bei ya nchi fulani lakini hujui thamani yake kwa dola au shilingi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ninauza laptop yenye sifa zifuatazo. 1. Model : HP probook 6360b 2. RAM : 4 GB 3. Harddisk : 500GB 4. Screen : 14 inches 5. OS : Windows 7 pro (Activated) 6. Processor : Core i5, 64bit, 2.5 GHz 7...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Imetumika miezi mitatu. Bei ni 320,000/= Napatikana Mwanza.
0 Reactions
20 Replies
4K Views
  • Closed
Amani kwenu wadau, nina mashine ya hp elitebook 8470 ipo katika hali nzuri kabisa, imetumika miezi 3 toka inunuliwe. specification zake: Hdd 320Gb Ram 4Gb Processor Intel (R) Core (TM) i5...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa nini choo kinuke wakati suluhisho lipo Jipatie manukato ya choo yenye harufu nzuri ya kuvutia product ya south africa. Baada ya kusafisha choo chako kausha maji kisha mimina manukato haya...
0 Reactions
5 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…