Sofa zinaitajika Mbeya

Sofa zinaitajika Mbeya

jiwelampaka

Senior Member
Joined
Jul 8, 2017
Posts
101
Reaction score
46
Habari kama kichwa cha habari kinavyojieleza naitaji sofa nzuri za kisasa nipo mbeya kama kuna fundi au mfanyabiashari wa sofa anaweza nicheki pm nimpe number ya whatsapp anitumie picha Asante
 
Karibuni sofa set aina mbali mbali bei zetu ni makubaliano hutaondoka bure tuwasiliane kwa 0713321981/0743202510/0620884445
 
acha ukuda nenda ilomba pale utaktananazo za kila aina
 
Back
Top Bottom