Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Natafuta soko la kuku chotara na mayai yake..napatikana tabata kinyerezi kuku ni wakubwa nauza elfu 15,mayai yake tray elfu 10 ni kama ya kienyeji mawasiliano ni 0718849991 kwa atakaehitaji
3 Reactions
8 Replies
6K Views
SOLD SOLD SOLD
1 Reactions
8 Replies
820 Views
Nyumba ya vyumba vitatu pamoja na uwanja mkubwa inauzwa eneo la Matejoo -Arusha. Sifa za Nyumba:- Ina Vyumba-3 (kimoja master) ,Jiko ,Dining, Stoo, Public Toilet na Bathroom. Maji yapo na Tank la...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!! Ninauza mayai ya kuku wa kienyeji kwa ajili ya kula na pia ukitaka kwa ajili ya...
0 Reactions
0 Replies
537 Views
Habari wakuu, Nahitaji power bank kwa ajili ya laptop yangu,naomba kujua kwa anayefahamu zinapopatikana.nipo dar. Thanks.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Tafadhali wadau ninaomba kupata elimu kuhusu aina ya Incubator inayotumia umeme iliyo nzuri maana nimeanza kutotolesha mayai kwa kutumia made made inayotumia mafuta ya taa lkn kuna changamoto ya...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Ndugu zangu hodi humu ndani, Ninauza mahindi yapo Morogoro nauza kilo 750/= Sina longolongo Nina gunia 20 za 120kg. Karibuni wateja.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tecno C5 Inauzwa na ni nzima 0768368560 na 0656119263 Dar es salam
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Changamkia fursa nyumba mbili mpya za kisasa ziuzwa chanika mjini DSM ziko sehemu moja.But msauzi vyumba vya kulala 5 vyoo vya ndani cha public na self container,dinning room,jiko na valanda 2...
1 Reactions
44 Replies
11K Views
Y
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mm ni mkazi wa Dar nahitaji viti vya kukodisha kwa ajili ya sherehe ndogo tu viwe vya chuma
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tunatoa huduma za kudesign Logo Product labels Posters and brochures Business card Calendar Billboard ID card Music covers...nk Huduma zetu ni nafuu sana Contacts: Call: 0768829357 Whatsapp...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waungwana, wapi naweza kupata RAM ya 8 GB (4 GB X 2) kwa MacBook Pro 17-inch mid-2010? Nimefanya research, nahitaji ya OWC (PC8500 DDR3). Ni duka gani kwenye mji huu wa Makonda naweza kupata hii...
0 Reactions
0 Replies
429 Views
Nauza madera mazur yenye mitandio mikubwa. Jumla ni sh 12000 reja reja ni sh 13000 Napatikana Ilala Dar. Nicheki 0678361222 whatsapp.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Frem inapangishwa iko mabibo mwisho karibu na tanga fresh bei ni 100,000 kwa mwezi kwa anayehitaji tuwasiliane 0713 114394
0 Reactions
2 Replies
943 Views
Pata senene wanene wazuri kutoka bukoba. Tupo Dar es salaam, tucheki kwa namba hizi 0656005004'0759958244
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Nimekata mwembe nataka kujenga, kwa anayeyahitaji, nimeshayachana vipande. Yapo Pugu kigogo fresh 0684223374
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu. Viwanja vinauzwa Bagamoyo jirani na Matimbwa Secondary, Kijiji cha Sunguvun, Mtaa wa Bomu.Dakika arobaini na tano kwa daladala toka njia kuu iendayo Dar Es Salaam. Ni Hekari tano na...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…