Habari zenu wakuu,
Kwa yeyote yule anayehitaji eneo Dodoma mjini mwenye sifa azitakazo yeye.
Kwa mfano;
1.Umbali toka katikati ya mji
2.Upatikanaji wa maji, umeme
3.Eneo lenye fursa nzuri kama...
Habar wadau Ninataraj kuanza kununua Mihogo toka kwa wakulima na kwenda kuuza kwenye masoko dar ........naomben ushaur kwa wajuz ..masoko yanaptkana VP na inauzwaje kwa sokon bugurun ...ukiwauzia...
Umoja Switch inianzishwa miaka zaidi ya kumi iliyopita ili kuwezesha benki ndogo na za kati kuweza kupata huduma za ATM. Kupitia Umoja Switch benki zaidi ya 27 zinawezesha wateja wao kupata huduma...
Wakuu habari za wakati huu?
Tumelima matango hapa bunju dar es laam sasa yamekomaa na ssoko hatuna hivyo tunatafuta madalali wanaohusika tuwauzie.
Bei yetu sio kubwa tunauza mzao yaishe na si...
Nahitaji creti za bia chupa kubwa kampuni ya TBL creti 50 kama unazo piga namba 0692 950167 uniuzie kama bei yako itakuwa ndani ya uwezo wangu au makubaliano
Habarini wana-JF, ninaomba kujulishwa sehemu naweza nunua material za kuprint tshirt. Materials kama vile gauze, rangi, emulsion, n.k na bei zake. Kwa upande wa mkoa wa Dar. Kwa yeyote anayefahamu...
Habari,
Mimi ninashida ya mayai ya kizungu kwa hapa Dar es salaam ,shida yangu Ni trei 10 kwa siku ,Kama wewe Ni mfugaji na upo hapa dar itakuwa vizuri tufanye biashara
Kama kichwa kinavyosema sasa nimefanikiwa kufungua maduka online katika tovuti tatu lakini tovuti moja inaruhusu kuuza bidhaa za kiafrika pekee niko hapa kuomba mwenye bidhaa hizo tufanye biashara...
Nawasalim Wana Jf:
Nauza jokofu (freezer) langu lenye ukubwa wa kati, lipo Maeneo ya Sabasaba Morogoro Manispaa, bei ni Tsh 400,000 tu. Ina hali nzuri, na lina uwezo mkubwa wa kupooza na...