Natafuta pikipiki boxer kwa malipo ya 25%

Natafuta pikipiki boxer kwa malipo ya 25%

goodfool

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2016
Posts
1,668
Reaction score
996
Hi,

Title inajieleza mwenye yuko serious tuwasiliane.

Pikipiki kwa malengoya bishara ya usafirishaji.

Wasalam
 
Haujaeleweka. Una maanisha utalipa 25% tu basi mmemalizana? Au weye ndiyo ulipwe?Au utamlipa dalali? Funguka.
 
yapo baadhi ya maduka yanayochukua pesa kwa awamu nadhani yanaweza yakakufaa ila hawakupi chombo hadi ukamilishe
 
Back
Top Bottom