Wanaouza bidhaa za kiafrika tushirikiane hapa

thewajibu

JF-Expert Member
Jan 14, 2017
226
293
Kama kichwa kinavyosema sasa nimefanikiwa kufungua maduka online katika tovuti tatu lakini tovuti moja inaruhusu kuuza bidhaa za kiafrika pekee niko hapa kuomba mwenye bidhaa hizo tufanye biashara pamoja mimi nitahitaji picha ya bidhaa nitauza baada ya mteja wangu kulipia bidhaa ntakuja kuchukua bidhaa kwako kwa bei tutakayoelewana.
5aa0d6dbe81e9da058ca86ce484432db.jpg

42e86461d008794b17472ae6fea4023e.jpg

dce504df35fd44a3a8cdcb4c2fb0890f.jpg

itapendeza ukiwa Mwanza
 
Mkuu, unaposema bidhaa za kiAfrika unamanisha nini? Kama ni bidhaa zinazotengenezwa hapa Afrika, basi nasi pia ni miongoni. Maana tunatengeneza viatu vya ngozi hapa hapa nyumbani Tanzania.
IMG-20171128-WA0046.jpg
IMG-20171128-WA0043.jpg
IMG-20171128-WA0052.jpg
IMG-20171128-WA0055.jpg
 
Bidhaa kama zipi?? Mimi nauza vitenge follow africanculture_accessories pamoja na masai shoes
 
Back
Top Bottom