Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Camera 13mp Internal. 16gb Ram 2gb Niko ubungo dsm 0719397568 Bei 350000 fixed
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Nina mzigo wa pweza nina leta dar es salaam toka msumbuji Kilo ninauza 9000tsh per kg +255676019019 WhatsApp +255764845585 Asante sana
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu habari za majukumu. Naomba kujua wapi nitapata mashine ya kupukuchua mahindi (kutenganisha mahindi na magunzi yake). Niko nje ya Dar, kama unayo mashine ya namna hiyo naomba unipe...
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Habari za muda huu Wajumbe, natumai ni wazima nyote. Naomba kuulizia bei za mashamba ya mikorosho na jinsi ya kuipata kwa manunuzi...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Ndugu wana jamii forum nauza machine kubwa ya kupukuchua mahindi. Ina uwezo wa kupiga gunia 250 kwa siku na inatumia engine ya diesel Horse power 20 ambayo nayo ipo hapohapo katika machine. Bei ni...
2 Reactions
0 Replies
3K Views
Mchora ramani za nyumba mwenye muhuri anahitajika ili kuweza kupata kibali cha ujenzi. Natanguliza shukrani
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu wanaJF Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyosoma Tunafanya kazi za ujenzi katika umaliziaji wa nyumba hatua za mwisho katika maeneo haya 1. Kuweka gypsum na Kudizaini maua au...
6 Reactions
29 Replies
39K Views
GRAM TECH COMPUTER SOLUTION. Tunashugulisha na kazi zifuatazo:: 1.Software upgrades and installation 2.OS installation(Windows 10,8.1,7,Vista,XP) 3.Internet Security 4.Microsoft office...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kipo pwani.mlandizi.ukubwa wa 20 kwa 20 .na cha ukubwa wa 30 kwa 20.bei milioni mbili na nusu kwa milioni tatu.umbali toka barabarani km 2. Nipo mlandizi msufini karibia na sheli...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari waungwana! Nimejaribu kupekua mitandaoni ili kupata bei za mazao mbalimbali sijapata tovuti rasmi inayoonyesha takwimu za bei za mazao/vyakula. Kwa anayejua viazi mviringo Mbeya kwasasa au...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana Jukwaa. Nahitaji mtu anayeweza kutengeneza sabuni za kuogea za mche. Kama unaweza au una mfahamu mtu ajuaye tafadhali niunganishe naye. Kuna rafiki yangu ana uhitaji sana, Pia waweza...
1 Reactions
4 Replies
969 Views
Wawe na cheti cha form four kuuza vifaa vya ujenzi mawasiliano 0717342414/0764716096/0788492588
1 Reactions
0 Replies
811 Views
Wakuu kwema!! Kama kichwa kinavyo jieleza TV aina ya aborder size 19 inauzwa kwa 200k,Radio aina ya aborder inauzwa kwa 100k,king'amuzi cha startimes kwa 20k,stend ya TV kwa 20k...! Napatikana...
0 Reactions
54 Replies
11K Views
MIFUPA Tunauza mifupa inayotokana na wanyama kama vile ng'ombe, mbuzi nk MATUMIZI 1. Inatumika kutengeneza chakula cha mifugo, kama vile kuku, kanga, bats ,nk 2. Kutungenezea sahani za mifupa...
0 Reactions
1 Replies
959 Views
Laptop min bytspeed SIFA ZAKE; - HARD DISK 80GB - RAM 2GB -PROCESSOR 1.60GHZ -NI TOUCH SCREEN -NI SCREEN ROTATE -INA WEB CAMERA -INAKAA NA CHAJI MASAA 8 BEI Tsh 250,000/= tu. anayehitaji anichek...
2 Reactions
69 Replies
10K Views
Nauza laptop yangu kwa bei ya shilingi laki nne (4) specifications zake ni RAM 4GB. HARD DISK 500GB processor 1.6 Hz system type 64-Bit operating system kama unaitaji ni D.M
0 Reactions
13 Replies
45K Views
Ndg zangu sina shaka hamjambo...tangazo langu nikwamba kinahitajika chumba kimoja cha kupanga kuanzia shilingi35000 mpka 50000, maeneo ya tabata. Ikiwa self itapendeza zaidi kwa mawasiliano ni pm
0 Reactions
21 Replies
3K Views
1. Taarifa za kutosha/nyingi na za kipekee unique content 2. Ukurasa unaoload kwa haraka na wenye code chache 3. Menu rahisi kwa mteja na viunganishi angalau kila paragraph 4. Kupandisha kwenye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Pata calender mpya ya mwaka 2018 yenye picha yako binafsi, familia, office au ya pamoja na marafiki kutoka SMART IT SOLUTIONS kwa bei ya kuanzia TSH 5,000/= Piga:06528222228...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Pata calender mpya ya mwaka 2018 yenye picha yako binafsi, familia, office au ya pamoja na marafiki kutoka SMART IT SOLUTIONS kwa bei ya kuanzia TSH 5,000/= Piga:06528222228 whatsapp:0652822228.
0 Reactions
0 Replies
890 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…