Nahitaji mchora ramani mwenye muhuri

Nahitaji mchora ramani mwenye muhuri

kumaro

Member
Joined
Feb 9, 2017
Posts
33
Reaction score
2
Mchora ramani za nyumba mwenye muhuri anahitajika ili kuweza kupata kibali cha ujenzi. Natanguliza shukrani
 
kumaro tafadhali fafanua aina ya jengo kama ifuatavyo;
1. Jengo la aina gani
a) makazi
b) biashara
c)shule
d) hospitali nk
2. Jengo la kawaida au ghorofa
3. Litajengwa wapi yaani;
a) mji mdogo
b) manispaa
c) jiji
Lengo langu nikushauri, Watanzania wengi hamzingatii ushauri wa kitaalam kabla ya kupata hasara.
Ili upate kibali cha kujenga hasa mijini unatakiwa kuwa na;
a) ramani iliyogongwa muhuri na architect aliyesajiliwa na AQRB
b) uwe na BOQ iliyotengenezwa na kugongwa muhuri na Qs aliyesajiliwa na AQRB.

Ndipo hatua zingine zifuate. Ikiwa unahitaji ushauri wa bure nicheki.
Epuka kugongewa muhuri na asiyesajiliwa hata kama ni bure itakula kwako
 
Registered architect . Mpigie 0713 171 492 anaitwa Denis Ofisi ziko mikocheni
 
kumaro tafadhali fafanua aina ya jengo kama ifuatavyo;
1. Jengo la aina gani
a) makazi
b) biashara
c)shule
d) hospitali nk
2. Jengo la kawaida au ghorofa
3. Litajengwa wapi yaani;
a) mji mdogo
b) manispaa
c) jiji
Lengo langu nikushauri, Watanzania wengi hamzingatii ushauri wa kitaalam kabla ya kupata hasara.
Ili upate kibali cha kujenga hasa mijini unatakiwa kuwa na;
a) ramani iliyogongwa muhuri na architect aliyesajiliwa na AQRB
b) uwe na BOQ iliyotengenezwa na kugongwa muhuri na Qs aliyesajiliwa na AQRB.

Ndipo hatua zingine zifuate. Ikiwa unahitaji ushauri wa bure nicheki.
Epuka kugongewa muhuri na asiyesajiliwa hata kama ni bure itakula kwako
1. Sasa mtu asiyesajiliwa mhuri anapata wapi?
2. BoQ sio lazima kwenye kupata kibali cha ujenzi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom