Kwa wanaopenda nyumba kuwa na mvuto! Pita hapa

Apr 18, 2017
15
11
Habari zenu wanaJF
Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyosoma

Tunafanya kazi za ujenzi katika umaliziaji wa nyumba hatua za mwisho katika maeneo haya
1. Kuweka gypsum na Kudizaini maua au maumbo mbali mbali katika dari. Hatutumii maua au maumbo kama vile mikanda, bond n.k za Mchina. Tunatengeneza wenyewe Watanzania tena katika ubora wa hali ya juu sana
>kwa nini utumie mapambo yetu?? Kwa sababu
√hudumu sana ukilinganisha na mapambo ya Mchina. Material zetu ni nzuri na unaona tunapofyatua aina yoyote ya mapambo utakayo kwa gharama nafuu kabisa
√ mapambo yetu hayaozi kama hata kwa nyumba zenye AC tofauti na Mchina
√umbo lolote utakalo utatengenezewa na kuwekewa katika dari na kuifanya nyumba kuwa na mvuto zaidi
√bond za kuunganishia mikanda nk ni imara na zinahimili joto na unyevunyevu

Huduma hii tunatoa kwa makubaliano ikiwa utakuwa na mapambo yako tukuwekee katika dari utachajiwa gharama za huduma tu

Na kama utahitaji huduma kuanzia kufyatua mapambo, finishing ya nyumba, chumba, ofisi nk tutakuchaji gharama za service na material.
Baadhi ya kazi zetu ni hizi hapa
fd315201a5dc4ee9746d4387513c90c6.jpg
f17eaf7daa4b922ec5e5c04037af8c89.jpg
21e2885885ef759c6713e96365e30152.jpg
0b928f18c87dd2818fd16847272c97b2.jpg
361263eb23603bc18cfb994760cd7d09.jpg
889097e8b4d35ab5fc900dd220adc2e8.jpg

Vile vile tu nafanya kazi za kupaka rangi na kushauri aina za rangi za kupaka na Kudizaini. Hizi ni baadhi ya kazi tulizofanya kuanzia kufyatua mapambo, gypsum designing na painting
e9ededa5c993a4d9b9848599ed4576bd.jpg
c277c91a830b4858faa2f9c0fa12c365.jpg
bc31e4c3d4827826bbaa962126622c40.jpg
16568ae42fad75c31c9cceb06e9de523.jpg
e9f1c6cf46f0b061276ea87f11d448de.jpg
77f7d6e6b0360c7b45f9c20251d87253.jpg

Vile vile tunafanya kazi zote zinazohusiana na ujenzi wa Tiles

¤tunapatikana Kigamboni, Dar es Salaam ila popote tunafika hata mikoani na nchi jirani
¤ kwa mawasiliano 0659 211 222
¤barua pepe thebuildingarts@gmail.com

Karibuni tuinuane katika kujiajiri
 
Kazi nzuri lakini jitahidini finishing naona bado mnapwaya kidogo. fanya KAZI KWA UMAKINI MSITUPE SABABU za sisi wateja kuhoji umakini wenu.
 
Kazi nzuri lakini jitahidini finishing naona bado mnapwaya kidogo. fanya KAZI KWA UMAKINI MSITUPE SABABU za sisi wateja kuhoji umakini wenu.
Hakika maoni yako yana thamani kubwa kwetu. Tutafanyia kazi. Asante sana kwa kutusaidia kuboresha kazi
 
Habari zenu wanaJF
Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyosoma

Tunafanya kazi za ujenzi katika umaliziaji wa nyumba hatua za mwisho katika maeneo haya
1. Kuweka gypsum na Kudizaini maua au maumbo mbali mbali katika dari. Hatutumii maua au maumbo kama vile mikanda, bond n.k za Mchina. Tunatengeneza wenyewe Watanzania tena katika ubora wa hali ya juu sana
>kwa nini utumie mapambo yetu?? Kwa sababu
√hudumu sana ukilinganisha na mapambo ya Mchina. Material zetu ni nzuri na unaona tunapofyatua aina yoyote ya mapambo utakayo kwa gharama nafuu kabisa
√ mapambo yetu hayaozi kama hata kwa nyumba zenye AC tofauti na Mchina
√umbo lolote utakalo utatengenezewa na kuwekewa katika dari na kuifanya nyumba kuwa na mvuto zaidi
√bond za kuunganishia mikanda nk ni imara na zinahimili joto na unyevunyevu

Huduma hii tunatoa kwa makubaliano ikiwa utakuwa na mapambo yako tukuwekee katika dari utachajiwa gharama za huduma tu

Na kama utahitaji huduma kuanzia kufyatua mapambo, finishing ya nyumba, chumba, ofisi nk tutakuchaji gharama za service na material.
Baadhi ya kazi zetu ni hizi hapa
fd315201a5dc4ee9746d4387513c90c6.jpg
f17eaf7daa4b922ec5e5c04037af8c89.jpg
21e2885885ef759c6713e96365e30152.jpg
0b928f18c87dd2818fd16847272c97b2.jpg
361263eb23603bc18cfb994760cd7d09.jpg
889097e8b4d35ab5fc900dd220adc2e8.jpg

Vile vile tu nafanya kazi za kupaka rangi na kushauri aina za rangi za kupaka na Kudizaini. Hizi ni baadhi ya kazi tulizofanya kuanzia kufyatua mapambo, gypsum designing na painting
e9ededa5c993a4d9b9848599ed4576bd.jpg
c277c91a830b4858faa2f9c0fa12c365.jpg
bc31e4c3d4827826bbaa962126622c40.jpg
16568ae42fad75c31c9cceb06e9de523.jpg
e9f1c6cf46f0b061276ea87f11d448de.jpg
77f7d6e6b0360c7b45f9c20251d87253.jpg

Vile vile tunafanya kazi zote zinazohusiana na ujenzi wa Tiles

¤tunapatikana Kigamboni, Dar es Salaam ila popote tunafika hata mikoani na nchi jirani
¤ kwa mawasiliano 0659 211 222
¤barua pepe thebuildingarts@gmail.com

Karibuni tuinuane katika kujiajiri
Hongereni sana, ila punguzeni michoro.......finishing simpo huwa inavutia sana.......na haipitwi na wakati
 
Mtaalam nikitaka kuweka gypsum kwa nyumba yenye ceiling ile ya zamani itahitajika itolewe yote au inabandikwa juu yake?
Samahani, sijakuelewa swali lako. Katika suala la Ceiling unamaanisha ulipoweka dari ulitumia ceiling body ile ya zamani au gypsum body lakini imekuwa ya muda mrefu?
Kama ni ile Ceiling ya zamani haiwezi kushika maana itakaa kwa muda tu lakini baadae itabanduka
 
Hongereni sana, ila punguzeni michoro.......finishing simpo huwa inavutia sana.......na haipitwi na wakati
Asante mkuu. Ni kweli ila mahitaji ya mteja hulazimu kuongeza anachotaka mwenyewe
Katika kazi hii kuna ile michoro au mapambo simple ambayo kuna baadhi ya wateja wetu huyahusudu sana. Na kuna kundi jingine hutaka mapambo yaliyo complicated ambapo mteja anakwambia anataka yawe very unique sio kila mtu awe nayo. Maana complicated things add more costs
Asante kwa maoni yako
 
Back
Top Bottom