adolph5454
Member
- Jul 24, 2012
- 5
- 4
Ndugu wana jamii forum nauza machine kubwa ya kupukuchua mahindi. Ina uwezo wa kupiga gunia 250 kwa siku na inatumia engine ya diesel Horse power 20 ambayo nayo ipo hapohapo katika machine. Bei ni 3,000,000 maelewano yapo msiogope.Nna shida ya haraka ndio maana nauza.
Namba zangu ni 0757-963690 niko mbeya
Namba zangu ni 0757-963690 niko mbeya