Mashine ya kupukuchua mahindi inatafutwa.

Mashine ya kupukuchua mahindi inatafutwa.

Good Father

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
10,320
Reaction score
18,599
Wakuu habari za majukumu.

Naomba kujua wapi nitapata mashine ya kupukuchua mahindi (kutenganisha mahindi na magunzi yake).

Niko nje ya Dar, kama unayo mashine ya namna hiyo naomba unipe bei,uwezo wake na picha zake.

Note: Nataka kununua sio kukodi.

Natanguliza shukrani

sent from Sokoro nkorambokande
 
Zippo hizo mbili nakufahamisha bei
6695fed2076bee4579495bdea8671ee8.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu habari za majukumu.

Naomba kujua wapi nitapata mashine ya kupukuchua mahindi (kutenganisha mahindi na magunzi yake).

Niko nje ya Dar, kama unayo mashine ya namna hiyo naomba unipe bei,uwezo wake na picha zake.

Note: Nataka kununua sio kukodi.

Natanguliza shukrani

sent from Sokoro nkorambokande
weka no zako za cm, nikuunganishe na muuzaji wa hzo machine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda ubungo bussiness park utapata bei ya kiwandani. Polymer machinery mi nimenunua yangu 1.3mil
 
Wakuu habari za majukumu.

Naomba kujua wapi nitapata mashine ya kupukuchua mahindi (kutenganisha mahindi na magunzi yake).

Niko nje ya Dar, kama unayo mashine ya namna hiyo naomba unipe bei,uwezo wake na picha zake.

Note: Nataka kununua sio kukodi.

Natanguliza shukrani

sent from Sokoro nkorambokande
Mkuu mi nnayo tena haina shida yoyote. Niko mbeya na ukweli mashine ina uwezo wa kupiga gunia 250 kwa siku. Inatumia engine ya diesel ya powertiller HP 20. Yaaani ukiwa na lita 5 za diesel unapiga gunia 70 - 80. Nauza kwa ajili ya shida ya ghafla.Bei ni 3 million japo maelewano yapo. Namba yangu ni 0757-963690
 
Attachments

  • 21105942_1558579677498385_2585602717422566707_n.jpg
    21105942_1558579677498385_2585602717422566707_n.jpg
    38.4 KB · Views: 157
Wakuu habari za majukumu.

Naomba kujua wapi nitapata mashine ya kupukuchua mahindi (kutenganisha mahindi na magunzi yake).

Niko nje ya Dar, kama unayo mashine ya namna hiyo naomba unipe bei,uwezo wake na picha zake.

Note: Nataka kununua sio kukodi.

Natanguliza shukrani

sent from Sokoro nkorambokande
nenda Mosh pale SIDO ni kuanzia laki 5 kwa maelezo zaidi ni pm
 
Back
Top Bottom