Hyy wakuu
Kwa wale watumiaji wrote wa line za chuo za Airtel naomba kufahamishwa offer zipi au vifurushi vipi viruri vinavyopatikana huko..
kuanzia dakika hadi mb(internet)
Nawasilisha.
Habari zenu ndugu zangu wapendwa..
Nina ndugu yangu anauza gari hii pichani. Ni mpya kabisa. Bei Tshs. Milioni 60 tu.
Karibu kwa mawasiliano (namba ya muuzaji): 0655 162 686.
Mnaweza kucheki...
Nyumba ya kupanga ipo Arusha ni bei poa ina vyumba viwili, sebule, jiko choo bafu na store kodi ni shilingi laki mbili na nusu (250,000/=) kwa mawasiliano zaidi piga 0653954094
Bi Celine Ngahunga alitangazwa na majaji kuwa mshindi nambari moja katika kutengeneza keki zenye Ladha Bora katika maonyesho ya ‘’Azam Cakes and Breads Expo 2017” yaliyofanyika tarehe 17 December...
Umejiandaaje kwa mtoko wa SIKUKUU?
- Je mpaka leo bado unavaa mabati?
- Acha kuvaa mabati vaa SILVER ORIGINAL
- Tunauza kwa gram 1 shilingi 6,000
- Bracelet ni gram 50 inaenda kwa shilingi...
Habari.
Nauza kiwanja kipo msakuzi karibu na makabe
-ukubwa ni square meters 400(20 kwa 20)
-kipo eneo tambarare sio bondeni ni barabarani unaweza weka frames kwa mbele
-Hakina hati bado, ila ndo...
Tecno camon c7 for sale bei tsh.180,000
Iko katika clean condition, haina tatizo
Back camera 13mp
Front camera 13mp
Ram 2gb
Storage 16gb
Unapewa na charger na cover
Contacts: 0677888412...
Simu za mezani zinazotumia double laini
.
betri ya kuchaji
.
inatuma sms
.
fm radio, GPRS nk.
.
Bei sh.135,000/= full box [emoji403] + FREE DELIVERY
NB: Ukiitaji kwa bei ya jumla zipo.
...
Wakati naendelea na mazungumzo ya kibiashara kwenye gari la awali >> Car4Sale - Nauza gari, Milioni 60 tu.. Vyuma vimekaza!
Napenda kuwaletea gari lingine wanunuzi wanaohitajia kuanza yema mwaka...
Nini: Eneo la mchanga lenye ukubwa wa hekari 31(thelathini na moja) linauzwa
Wapi: Wilaya ya Mkuranga, Kijiji ni Mwanambaya,Ukitokea Kongowe (Kupitia Kilwa Road),ni Kilometa sita toka kinapoanza...
Habari wakuu.
Nini: Eneo la shamba lenye ukubwa wa heka moja linauzwa kwa laki tano.
Wapi: Morogoro, kilomita 20 toka msamvu kuelekea Dodoma, kilomita nane toka barabara kuu iendayo Dodoma...
Samsung Galaxy tab A 8.0 model Sm-t355 4g+Wi-Fi 16gb ina Android 7.1 Nougat bei 330000 inapungua kidogo. Tablet bado ipo fresh. Tablet ipo Moshi,KILIMANJARO.