Nauza laini za uwakala M PESA NA TIGO PESA

Nauza laini za uwakala M PESA NA TIGO PESA

Yuzhonai

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2011
Posts
303
Reaction score
69
Habari wana JF nauza laini tajwa hapo juu kwa bei ya sh.300,000 kwa zote mbili ukitaka moja bei ni 150,000 karibuni napatika iringa.
 
Na wewe pia ulinunua kwa mtu au ulitengenezewa kwa wakala mkuu?
Je mikataba ya hizo laini unayo au ndio unataka kuuza mbuzi kwenye gunia?
Bei ya mwisho kuuza ya tigo pesa bei gani?
 
Vyuma vimekaza mpaka unafikia kuuza laini za wakala na bado vitavunjika sio kukaza
 
Zimeshanunuliwa nashukuru kwa ushirikiano wenu
 
Back
Top Bottom