Chimbo La Mchanga Linauzwa

Chimbo La Mchanga Linauzwa

JAMII BORA

Member
Joined
Apr 18, 2017
Posts
78
Reaction score
58
Nini: Eneo la mchanga lenye ukubwa wa hekari 31(thelathini na moja) linauzwa
Wapi: Wilaya ya Mkuranga, Kijiji ni Mwanambaya,Ukitokea Kongowe (Kupitia Kilwa Road),ni Kilometa sita toka kinapoanza kijiji hiki cha mwanambaya,eneo lipo kitongoji kinaitwa Mizugu.

Utanufaikaje: Kwa kila heka moja unayonunua ina takriban mita 64 urefu kwa mita 64 upana (wengine huita miguu sabini) kwa mita 2 kima kwenda chini. Hii hufanya ujazo wa mchanga kwa heka yako kuwa 64m *64m *2m =8192m3 ambapo kwa ujazo huo,utauza mchanga kwa tiper ndogo za ujazo 3.5m3 , tiper 2340 .Kwa kila tiper hulipa tzs 10,000 kwa mmiliki wa shamba.Hivyo kama msimu wa mvua(barabara zinasumbua),utauza heka kwa miezi miwili,ila msimu wa jua utauza heka kwa wiki tatu au nne,Makadirio ya mauzo kwa heka yakiwa ni 23,400,000/- (milioni ishirini na tatu,laki nne.

Bei:Kwa heka moja pekee ni milioni nane, Ukianzia heka tano inakuwa milioni sita na nusu kwa heka .

Utaratibu: Wasiliana nasi kama una nia ya kuwekeza kwenye mchanga, nitakuunganisha na Site Manager wetu anayepatikana 24/7 ukajionee shamba, uhakiki wa umiliki, barabara nk.

Mussa
0713-039875
 

Attachments

  • sand.PNG
    sand.PNG
    32.5 KB · Views: 35
Nikajua mchanga wa dhahabu nlipoona bei ya elfu 10 ikabidi niwaze ujenzi.
 
Back
Top Bottom