Nyumba ya kupanga Arusha

Nyumba ya kupanga Arusha

Emaoi

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2013
Posts
307
Reaction score
235
Nyumba ya kupanga ipo Arusha ni bei poa ina vyumba viwili, sebule, jiko choo bafu na store kodi ni shilingi laki mbili na nusu (250,000/=) kwa mawasiliano zaidi piga 0653954094
 
tuma picha mkuu eleza iko wapi, mbn basics za biashara hujui mkuu
 
Weka maelezo ya kutosha, kama mpiga domo alivyo suggest. Nyumba ipo maeneo gani, ina maji, fensi je?. Tulia weka hayo maelezo na mengineyo muhimu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom