Heka moja inauzwa laki tano Morogoro

JAMII BORA

Member
Apr 18, 2017
78
58
Habari wakuu.
Nini: Eneo la shamba lenye ukubwa wa heka moja linauzwa kwa laki tano.

Wapi: Morogoro, kilomita 20 toka msamvu kuelekea Dodoma, kilomita nane toka barabara kuu iendayo Dodoma.

Muhimu: Njoo ulione na kuthibitisha umiliki kwani linauzwa kwa haraka.

Mawasiliano: 0713-039875
 
Ni Morogoro mjini
 
Nawaza mie nitoke Dar kwenda Morogoro kwa ajili ya kukagua Heka 1 niliyolima, duh??
 
Kuna Heka 5 Kingulwila Mkuu...bei ni 5m...ni 20 km kutoka barabara ya dar-moro....kuna njia inafika mpk shamba kwa gari..baiskeli na pikipiki....shamba bado ni jipya na eneo linafaa kwa kulimwa maindi na alizeti...lina nyaraka ya serikali ya kijiji na viongozi waliouza bado wapo
 
Kingulwila iko wapi??
Hata Magomeni ni alongside barabara ya Dar-Moro
 
Huelewei? amesema maji chumvi mchanganyoko na nyama kiwanda lami kwa vumbi kwa mkono wa kushoto!!!!
 
Back
Top Bottom