Msaada wa bei za mbao Mafinga

Msaada wa bei za mbao Mafinga

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
5,246
Reaction score
11,459
Habari zenu wadau
Natumai humu wapo wadau wa iringa maeneo ya mafinga nilikuwa naomba kujua bei ya reja reja ya ubao aina ya saprus wenye ukubwa wa mbili kwa Sita, 2 by 6 na mbili kwa nne 2 by 4

Asanteni
 
Mafinga kuna Pinus ,,cyprus kama zipo ni chache sana!!
 
Back
Top Bottom