Kiwanja kinahitajika

Kiwanja kinahitajika

nagmaras

Member
Joined
Sep 9, 2015
Posts
45
Reaction score
27
Nahitaji kiwanja cha kununua upande wa bagamoyo road, kisizidi Mil. 5
Au eneo lolote ndani ya dar es salaam
 
bagamoyo road tena? ya wapi mkuu maana zipo nyingi maeneo tofauti tofaut
 
Jipange nikupe Mambwepande,
SQM 500 kwa MILIONI 7.

Pigs: :+255-714-59-15-48.

Pia kwa shida ya kuuza,kununua,kupanga,kupangisha nyumba,ofisi pamoja na Madini na Migodi.
Usisite kuwasiliana nami.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom