Katika msimu huu wa Holidays tunakuletea FURSA ya Kipekee. Unakosaje Fursa kama Hii!
.
.
Jee wewe ni MjasiriaMali mwenye mtaji mdogo?
.
.
Ni fursa ya kipekee ya kujipatia kipato kwa haraka na...
Naomba kufahamu kuhusu kununua bidhaa mtandaoni na kwenda kununua vitu kariakoo ipi ina unafua wa bei na faida inayoridhisha? Hapa namaanisha kununua mzigo mkubwa.
Asanteni kwa muda wenu
habari wadau
nmepata shida na maatzo kidogo hivyo imenipasa niuze computer yangu music system yake bei ni rahisi sana 200000
ina ram 4g
hdd 110gb
pentium 4
naambatanisha na picha ya mali hizi...
Kina urefu wa MITA55 NA UPANA WA MITA 28.80 kipo Musoma eneo la makutano kwa alietayari anicheki
kupitia 0764339400
bei 10m kwa maongezi zaidi unakaribishwa
Habari wakuu,
kama kichwa cha habari kinavyoeleza. naombeni kama kuna mafundi wanajulikana wa kuchimba shimo la choo.
1.) site ipo kigamboni
2) kazi inahitajika kufanyika mwezi wa kwanza
3)...
Contact me now for effective design and desirable plus complicated plans.
Tunafika site kwako tunachukua vipimo..halafu tunafanya kazi
Karibu sana
0654919121
0758919121
0622060797
0683928358...
Napenda kuwatangazia wateja/wanunuzi wa viazi mviringo kutoka pande zote za Tanzania na nje ya nchi kwamba ninauza viazi kwa bei nafuu sana.
KIASI AU UKUBWA WA ENEO
Viazi bado viko shambani yaani...
Kwa walio maeneo husika na kama wanajihusisha na uuzaji wa bidhaa za akina mama kama nguo, viatu, SAA, mikoba nk. najumlisha bidhaa za aina hiyo baada ya kufunga DUKA kwa sababu ya kukosa...
Kutokana na mawazo ya watu wengi na kuamasishwa na clouds tv nikaamua kufanyia kazi mawazo yao yakutafta fursa
Niliamua kuingia kwenye kilimo cha kitunguu pamoja Changamoto nyingi nimekutana...
Habari, kwa wale wapenzi wa games ninazo play stations 2 pieces 2 zikiwa chipped kwa maana ya kuwa hutahitaji kutumia cd Ila utapata flash yenye games 10 zikiwemo FIFA nk.
Ukitaka kutumia cd hiyo...
Wakuu nahitaji mashine tajwa hapo juu, mwenye nayo au anayejua zinapopatikana anisaidie pls, nahitaj inayotumia UMEME.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna jamaa alianzia uzi kipindi furani kua kama umenunua bidhaa na muuzaji hafanyi shipping tz unaweza kuituma bidhaa hiyo kwao then wakakutumia.
Anaejua link ya ule uzi tafadhali naiomba hapa.
Habari, wapendwa kati ya Nairobi na Uganda ni wapi naweza kupata pochi za mtumba zile grade A, nahitaji kuanza kufanya biashara hiyo, nahitaji mawazo yenu