Kununua bidhaa online hasa amazon,ebay nk

Kununua bidhaa online hasa amazon,ebay nk

Hamiyungu

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2009
Posts
598
Reaction score
777
Kuna jamaa alianzia uzi kipindi furani kua kama umenunua bidhaa na muuzaji hafanyi shipping tz unaweza kuituma bidhaa hiyo kwao then wakakutumia.

Anaejua link ya ule uzi tafadhali naiomba hapa.
 
Back
Top Bottom