Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habarini za Jioni Natafuta tender kwenye indtitutions zozote ya kysuply mkaa wa kupikia kwenye mifuko kilo -11 bei 28000 kwa mfuko.kwa kupikia ttu unahitaji robo kilo bila kuongeza chochote
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Wakuu nataka Tecno cx air kwa anae uza nicheck PM
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Una IST na inatoa mvumo kwa nyuma, umehangaika umechoka? Tuko pamoja....Ninazo bearing za nyuma za IST kutoka Korea. Nikizifunga unaweza sinzia huku unaendesha jinsi gari lilivyokimya Bei ni TZS...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari za mapambano wajasiliamali wenzangu. Nimezalisha pilipili mbuzi zakutosha sana, kwa anaehitaji kwa matumizi mbalimbali kama vile chachandu, chill, kuuza kwa walaji wa kawaida wakiwemo...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Members mm nna 6mln natafuta gx110 au corolla x nitapata kweli?
0 Reactions
3 Replies
810 Views
Contact me now for effective design and desirable plus complicated plans. Tunafika site kwako tunachukua vipimo..halafu tunafanya kazi Karibu sana 0654919121 0758919121 0622060797 0683928358...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za mapambano wajasiliamali wenzangu. Nimezalisha pilipili mbuzi zakutosha sana, kwa anaehitaji kwa matumizi mbalimbali kama vile chachandu, chill, kuuza kwa walaji wa kawaida wakiwemo...
0 Reactions
0 Replies
713 Views
Wasalaam Eneo limepimwa lina viwanja kumi, limezungushiwa fansi, kunamabanda ya kuweza fuga kuku 4000 na nyumba ya kuishi wafanyakazi, kisima cha maji kipo. Bwawa la Samaki (halijamaliziwa...
0 Reactions
3 Replies
787 Views
Wandg natumaini mpo salama. Napangisha nyumba Dodoma mjini eneo Area E brbr ya area D jirani sana na Tanzanite Lodge, ni nyumba yenye mpangilio mzuri waweza kufanya ofisi au makazi, mimi mwenye...
1 Reactions
46 Replies
4K Views
Wakuu poleni na sabato, Hali inazidi kuwa tete, nauza kiwanja kwa bei ya kutupa. Nauza kwa 5.9m, kina msingi wa kisasa ndani yake. Nipo tayari kuchukua kwa installments Nawasilisah
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Maeneo ninayohitaji ni kimara, Riverside, Mabibo mwisho na Magomeni, isiwe mbali na barabara, iwe ndani ya fence, wapangaji wasiwe wengi, maji umeme viwepo, mwenye nyumba asiwepo hapo. Budget...
0 Reactions
2 Replies
777 Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema nahitaji fundi mwenye uwezo wa kutengeneza band saw kubwa ninasema kubwa maana yangu ni kua ile sehemu linapopita gogo panatakiwa pawe na urefu usiopungua futi 7...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
12000 utapendeza kwa viatu vizuri vya culture
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wakuu natafuta fundi simu anayeweza kunibadilishia mashine kwenye lumia yangu 920 awe anatokea dar anicheck kwa no 0784843475
0 Reactions
0 Replies
989 Views
mambo vp wana if,naitaji izo game tajwa apo mwenye nazo au nayo aje inbox
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Nauza kiwanja heka moja kipo tabata kinyerezi ukishuka magengeni au sitendi ya zamani kwa dala dala kutoka stendi mpaka kwenye kiwanja ni kilomita 1 au kwa miguu dakika 25 na gari dakika 7 na kuna...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wakuu. Nahitaji moja kati ya mashine hizo hapo juu, mie niko Dar Es Salaa. Kama unayo njoo PM ama weka namba yako nikupigie. Bei tutaongea
0 Reactions
1 Replies
964 Views
Naulizia bei ya Noah Kwa kununulia yard za Dar
0 Reactions
12 Replies
8K Views
Kwa picha nzuri, maridadi na murua kama hizi. Mwenye kuhitaji mchoraji, au ofisi inahitaji mchoraji ni PM au tuwasiliane kupitia 0659445718. Mnakaribishwa, ahsanteni!
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Viwanja vinauzwa arusha, mahali panaitwa mkonoo.karibu kabisa na barabara inayojengwa ya east africa.karibu na daraja linapojengwa linalotenganisha njiro na mkonoo.bei ni tshs 5,000,000/=size ni...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…