Kiwanja kwa bei ya kutupa, njoo ukione

Kiwanja kwa bei ya kutupa, njoo ukione

golden pride

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2014
Posts
847
Reaction score
435
Wakuu poleni na sabato,

Hali inazidi kuwa tete, nauza kiwanja kwa bei ya kutupa. Nauza kwa 5.9m, kina msingi wa kisasa ndani yake. Nipo tayari kuchukua kwa installments


Nawasilisah
 
Una pambana kujibu wasio n uhitaji. Kuliko wahitaji w biznes yako mdau
 
Back
Top Bottom