Rudis Farm kilo ni 20'000/- Family bar ni 12'000/-Naulizia bei ya Noah Kwa kununulia yard za Dar
Sio kitimoto anaulizia gari huyoRudis Farm kilo ni 20'000/- Family bar ni 12'000/-
LaStanza kilo ni 13'000 o'clock.Rudis Farm kilo ni 20'000/- Family bar ni 12'000/-
Kama anauliza gari si angesema Noah new/ old model, mwaka uliotengenezwa, engine capacity, fuel etc Mi nkajua anauliza nyama adimu kipindi cha mfungoSio kitimoto anaulizia gari huyo
[emoji28] [emoji28] [emoji28] umenilazimisha kucheka duh!!Rudis Farm kilo ni 20'000/- Family bar ni 12'000/-
HahahahaaaaaKama anauliza gari si angesema Noah new/ old model, mwaka uliotengenezwa, engine capacity, fuel etc Mi nkajua anauliza nyama adimu kipindi cha mfungo
Noah ipi? Gari au nguruwe?Naulizia bei ya Noah Kwa kununulia yard za Dar