Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Colour : white Size:4.7inches Internal capacity:8Gb Ram:1GB Primary camera:5mp Secondary camera: VGA Price:250,000/=
0 Reactions
0 Replies
669 Views
Habari zenu wakuu, ningependa kuwashirikisha huduma ninazotoa ni pamoja na ; Business Cards Flyers Brochures wheelcovers Delivery note Invoice book receipt book. na mengine mengi tunatengeneza...
1 Reactions
1 Replies
832 Views
Mzigo wa kufungia na kufungua mwaka
0 Reactions
0 Replies
638 Views
Habari? Kwa wale wapenzi wa riwaya, Kitabu cha Dar es Salaam usiku cha mwandishi hayati Ben Mtobwa kitapatika kuanzia tarehe 7 ya mwezi wa nane kwa bei ile ile ya shilingi elfu 10,000 tu. Kwa...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
niko masaki mtaa wa slipway natafuta fundi nguo nimuajiri,awe anajua kushona nguo kwa fashion na mchoro utakaopewa na designer.....namba yangu ni 0784177507
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nahitaji chumba cha kupanga Ubungo Msewe, kikiwa master itakuwa vizuri/ kikiwa chumba na sebule na pia nyumba iwe na usalama . Anayejua naomba tujulishane
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Heshima mbele wadau nina ka project kangu ka ujenzi wa ghorofa moja simple. sasa imefikia wakati wa kumwaga jamvi kwenye msingi kabla ya kuanza kupandisha tofali. Napenda kujua nawezaje kupata...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wadau habarini Nipo Dodoma, naombeni kama kuna mtu anauza ipad brand ya sumsung au dell tuwasiliane kwa nambari 0785777710. Nahitaji TABLET iwe brand ya sumsung au dell. Asanteni
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nataka kufahamu ubora wake, ulaji wa mafuta na upatikanaji wa spare zake. Pia ili nipate iliyo bora niandae budget ya shilingi ngapi? Ni hayo tu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama habari ilivyo, inahitajika, isiwe nyeupe, namba C Nawasilisha
0 Reactions
2 Replies
761 Views
Anahitajika haraka msichana wa kazi Dodoma mjini 0658-154647
0 Reactions
4 Replies
884 Views
Wakuu nauza tangawizi mbichi kwa kiasi chochote unachohitaji utakipata Kwa mawasiliano zaidi nitumie sms inbox.
0 Reactions
0 Replies
613 Views
Nauza laptop HP 653 inch 15 tatizo lake nikioo tuu kwa 220000 tu
0 Reactions
2 Replies
602 Views
Kwema wana Jamii forums? Kama kichwa cha habari kinavyojileza Nauza viti viwili vya kunyolea vipo katika hali nzuri sana bei ni 450,000 kwa vyote. Kwa mawasiliano ni PM.
1 Reactions
34 Replies
7K Views
2018 Year is coming ! Are you expecting to take the chance to purchase a desired web hosting package at a low price? If the answer is yes, then you should not miss this collection of the best web...
0 Reactions
0 Replies
644 Views
Nina tv yangu led lg 43" nikiwasha ilikuwa inakata kata sauti kisha sasa hiv inawaka tu standby ila kioo hakidisplay chochote kile na ukifanikiwa kuona picha basi kioo n clear hakina mistari Je...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Basi la new force kutoka kyela kwenda dar basi la nne Leo mmetukwaza abiria wenu. Basi la ruti za dar Moro Leo mnalifanya litoke kyela kwenda dar. Yani likijitahid speed kubwa 60. Badilikeni...
0 Reactions
17 Replies
46K Views
Habari wadau, Naitaji gari ya kununua kwa mtu. Iwe Spacio new model au IST. Namba D ndio itapewa kipaumbele. Siitaji dalali, sababu sina pesa ya dalali. Aliye na gari anitumie meseji kwenye...
2 Reactions
36 Replies
5K Views
Wekeza kwaajiri ya bar na Guest au dispensary nunua nyumba Kwa bei ya kutupa mil. 16 tuu Ina vyumba vitatu vya kulala,sebure jiko,kisima kirefu cha maji,frem za maduka,gypsam na Ina kiwanja...
1 Reactions
37 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…