Nataka gari

Nataka gari

ukabu

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2011
Posts
212
Reaction score
68
Habari wana jf mimi ni Mtumish wa umma nahitaj Gari dogo mfano IST,RAUM,PREMIO ,ALLION Nk.

Kama kuna mwenye Gari tajwa hapo juu Na angependa kuniuzia Gari lake kwa installment ambapo nitakua nalipa million moja kila mwezi mpaka gharama halisia itakapo malizika ndipo atanikabidhi kadi ya gari ....Tafadhali kwa aliyeko serious tutaftane kwa nambari 0759212578
 
Vyuma vimekaza... Sasa ukinipa 1M kwa nila mwezi si ntakuwa naimalizia bar?
 
Tangazo lake nmelipeleka sehemu sahihi,atakayeitaji kulipwa Kwa mafungu atakupigia simu!kila LA kheri!
 
Bora ulipie kwanza, gari hua linagharama za hapa na pale so kulihudumia halafu na mwisho wa mwezi utoe milliioooo itakuvuruga!
 
Habari wana jf mimi ni Mtumish wa umma nahitaj Gari dogo mfano IST,RAUM,PREMIO ,ALLION Nk.

Kama kuna mwenye Gari tajwa hapo juu Na angependa kuniuzia Gari lake kwa installment ambapo nitakua nalipa million moja kila mwezi mpaka gharama halisia itakapo malizika ndipo atanikabidhi kadi ya gari ....Tafadhali kwa aliyeko serious tutaftane kwa nambari 0759212578
Fanya hivi jipe uvumilivu wa miezi 8 hiyo mil tafta fixed account kaweke kila mwezi. Mwezi wa nane utakuwa na gari. Unanunua cash
 
Habari wana jf mimi ni Mtumish wa umma nahitaj Gari dogo mfano IST,RAUM,PREMIO ,ALLION Nk.

Kama kuna mwenye Gari tajwa hapo juu Na angependa kuniuzia Gari lake kwa installment ambapo nitakua nalipa million moja kila mwezi mpaka gharama halisia itakapo malizika ndipo atanikabidhi kadi ya gari ....Tafadhali kwa aliyeko serious tutaftane kwa nambari 0759212578
Nakushauri,usinunue gari kwa ajili ya kwenda nayo kazini,utachelewa sana.
Ni vema ukawekeza hiyo pesa kwenye biashara yeyote!
 
Wekeza kwenye forex upate zaidi
 
Attachments

  • IMG-20180113-WA0038.jpg
    IMG-20180113-WA0038.jpg
    88.4 KB · Views: 39

Similar Discussions

Back
Top Bottom