Premio new model inahitajika

Premio new model inahitajika

golden pride

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2014
Posts
847
Reaction score
435
Wakuu poleni na pilika pilika za jumapili,

Nahitaji premio new model, bali isiwe nyeupe

Namba C au D

Bajeti 8m

0716411720

images




Nawasilisha
 
Jumapili ya leo mbaya. Kwanini, kila mtu ana mipango yake
Watu wamevurugwa kiaina.Walipanga mwisho wa mwaka huu wamiliki vitu vya nguvu lakini hela za short cut na njia za ujanja ujanja zimezibwa na gundi.Kilichobaki ni kujipa matumaini tu.[emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
 
[QUUna m="Matola, post: 25002765, member: 28603"]Acha kutania biashara za watu, hiyo bajeti yako unaweza kupata Bajaj Tvs au Passo.[/QUOTE]
We una mapungufu sio bure, kitu kama hakikuhusu, usikomenti chochote. Mimi nilikuambia nahitaji bajaji. Kama huna si usome utulie. Acha ujuaji
 
Tatizo wabongo wamekariri kupigwaa...we kama unaona pesa ndogo..tulia na upitee iviii...wapo watakaofika hiyo bei..nasisitiza wapo na siyo yupo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom