Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Tunambolea aina ya samadi mbolea za kisas kam DAP,UREA,CAN,MINJIGU,S.A tunambegu nzuri za kisas za mahind ,nyanya na mbogamboga na tunatoa mafunzo ya ujasiliamali kutengeneza wine ya nyanya TOMATO...
0 Reactions
0 Replies
708 Views
Habari zenu ndugu zangu Napenda kuwajuza kwamba kama unatatizo lolote katika gari yako linalohusiana na Umeme kama vile, taa ya check engine, gari kukosa Nguvu pia kama unataka kufungiwa sound ya...
0 Reactions
0 Replies
692 Views
jipatie kuku wa nyama kwa bei ya 8500 kwa maeneo ya ruaha mrogoro chuo cha sukari nicheki kwa namba ya 0759082811
0 Reactions
2 Replies
903 Views
Nina uhitaji wa line za tigo pesa, m-pesa na airtel money kwa yeyote aanayeuza , akanisaidia kuzipata kwa urahisi
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwamatangazo:kama Motion graphic advertise Digital advertise Radio advertise Television advertise Website developer
0 Reactions
0 Replies
566 Views
Habar wana JF, Kama kuna mtu ana simu ya :- Nokia 515 ( Double Line) Nokia 215 ( Double Line) Nokia 220 ( Double Line) Aje inbox tufanye biashara na asiwe mbabaishaji.
0 Reactions
2 Replies
679 Views
Kuna mashine ya Maxmalipo inauzwa iko shinyanga bei Tshs 350K. Imetumika muda wa mwaka mmoja. Iko katika hali nzuri. Mwenye uhitaji ni PM
0 Reactions
4 Replies
900 Views
Karanga safi zinauzwa kwa bei Poa wanajamii forum, kwa yeyote mwenye uhitaji tuwasiliane 0789 131 324. Asanteni sana.
0 Reactions
6 Replies
934 Views
Unapata app kwa ajili ya blog ya WordPress Puss notification Admob ads Bei tzs 50,000/= 0719658086
0 Reactions
2 Replies
786 Views
Jipatie domain name ya .com kwa bei ya tzs 15,000 kwa mwaka. Mawasiliano 0719658086
0 Reactions
1 Replies
749 Views
Wengi hulipa mainjinia pesa nyiiingii saaana na kushindwa kumaliza ujenzi wao salama kutokan na labour charge kuwa juuuu saana. Wasiliana nami 0753093869 popote nafika. Sasa utaweza kujenga...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Shamba lipo magoza. Ukifika njia panda mvuti dar es salaam unaelekea upande wa kushoto utafika hadi shamba la mageleza magoza. Ukitoka magoza unatafuta mtaa wa mji mpya. Shamba linauzwa milioni...
2 Reactions
26 Replies
4K Views
HP PAVILION core i3 RAM 4gb Hdd 500gb processor 2.4 Ghz PRICE 570k HP PAVILION CORE i5 Ram 4gb Hdd 500 gb Processor 2.4 ghz Price 680k Dell inspiron core i7 pia zipo TEL 0719 551 375 PC...
1 Reactions
0 Replies
412 Views
Habari, Husika na kichwa cha habari hapo juu.Nahitaji kioo cha hiyo simu kwa gharama ya 50,000. Kama unacho naomba unipm na namba yako
0 Reactions
0 Replies
965 Views
Wale wa halotel naomba unitumie text namba 0620416327 niwaunganishe na jamaa anaunga bundle kwa elfu kumi unakula gb 20 kwa mwezi,binafsi ameniunga na malipo nimetuma mpesa yani akiwa anaunga na...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Naulizia wapi naweza pata SAFE au strong box ndogo za kg 20 kwa matumizi binafsi? na je zinatumia umeme au nishati gani? Asanteni
0 Reactions
1 Replies
907 Views
Salute, Nilileta uzi wa kuuza kiwanja, baadaye nikashangaa uzi umefutwa. Kama unalipia tangazo mngenambia nilipie tu. Uzi wangu wa tatu mmefuta jana. Au mnabifu na Mimi mods?
1 Reactions
6 Replies
749 Views
Habari zenu wana jamvi, Kwa anayehitaji kiwanja chenye ukubwa wa ekari moja kwa ajili ya ujenzi wa makazi na biashara ani PM! Kiwanja kipo sehemu nzuri tu sio mbali na mjini na bei yake pia ni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nauza tablet aina hapo juu kwa anaehitaji nicheki 0764634970 bei 4000000 nipo magomeni mwisho kesho saa 5 asubuhi ni shida ya ghafla.
0 Reactions
4 Replies
845 Views
Salaam wakuu, Mimi niko mikoani nahitaji gari tajwa hapo juu.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…