Wahusika na madini ya copa tukutane hapa

Wahusika na madini ya copa tukutane hapa

Benjamin mathayo

Senior Member
Joined
Mar 6, 2016
Posts
112
Reaction score
30
Wadau ninalo eneo la madini ya kopa kama uonavyo kwenye picha hapo chini hilo nijiwe lililo toka katika eneo hilo. Mwenye uwezo anitafute kwa 0673673158.
20392db01ab2df104bfefdfcef7c7e50.jpg
IMG_20170817_170924.jpg
IMG_20170811_192432.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hiyo ya eneo gani?! Mwanga?! Hiyo sio marketable sana,ina chuma kwa wingi!!!
 
Nimaeneo ya tabora kuhusu chuma kiukweli mm sina uzoefu sana namadini haya ndio naanza kudili na kopa nilikuwa nadili nadhahabu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sasa huwezi kupata mtu. Kwanza uwe na leseni ya kitalu, halafu usubiri ukumbuke hairushusiwi kusafirisha mawe ya madini kwa sheria mpya, na wawekezaji wengi wanapenda kusafirisha mchanga.
 
Back
Top Bottom