Biashara Network "Asante Sana"

Biashara Network "Asante Sana"

Benchmark

New Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
2
Reaction score
4
Ilianza kama majaribio, Ila watu wameipokea vizuri. Biashara Network ina dalili za kuwa mtandao mkubwa Tanzania Unaokutanisha watu, Biashara na Wateja pamoja, Kujifunza na kushiriki vitu mbalimbali.


9261cccfa3721ec65bc12e0b5f4c97e388bc.png




Bila wewe tusingefika hapa. Tunashukuru sana (ASANTE SANA) kwa support yenu, Na Biashara Network itahakikisha inarudisha fadhila, kwa Ofa, Mafunzo na Support ya kutosha kwa watumiaji wa Biashara Network.

JARIBU BN HAPA​
 
Back
Top Bottom