Mtu aliyepo kwenye au aliye na contacts za watu wanaofanya kazi katika kiwanda cha Sukari kinachoanzishwa Bagamoyo na Bhakhressa ( Bagamoyo sugar company Limited) katika eneo LA Makurunge...
Nauza kabati la kuhifadhia chipsi,jiko la mkaa,jiko la kuchomea mishkaki pamoja na makalai 2 ya kukaangia chipsi.bei jumla 580,000.mawasiliano 0685787475
Bei ni sh 250,000 maelewano yapo
Simu ipo katika hali nzuri haina tatizo lolote, wala mchubuko kwa mahitaji ya simu hii
0717327191
Inapatikana chuo cha uhasibu TIA
Shamba lenye uzio la ukubwa wa heka 2.5, lipo Dar - Madale - Kisauke likiwa na mabanda ya kufugia kuku yaliyokamilika kwa vifaa vyote kwa kuku wanaoweza kufikia elfu kumi linakodishwa. Eneo ni...
Shamba lenye uzio la ukubwa wa heka 2.5, lipo Dar - Madale - Kisauke likiwa na mabanda ya kufugia kuku yaliyokamilika kwa vifaa vyote kwa kuku wanaoweza kufikia elfu kumi linakodishwa. Eneo ni...
Nauza gari aina ya Toyota
Model: Nadia
Year of Manufacture: 2000
Engine Capacity: 1990
Fuel Used: Petrol
Seating Capacity: 05
Color: Silver
Mileage: 88043
Registration number: T 326 DDS
Ni ya...
Habari!
Kuna vyumba vya kupangisha, Banana kama unaelekea kitunda...
* Chumba na sebule, vyoo vya jumuia (wapangaji wanne tu).
Kodi yake ni 70,000/= (miezi mitatu)
* Sebule na vyumba...
Kodi frem ya biashara iliyopo maeneo ya msasani kimweri avenue + Maandazi Road opposite CCBRT
Lipia Elfu 80,000 tu kwa mwezi
Kwa Mawasiliano piga
0657 13 13 66
Naona sasa Tanzania imeingiliwa na michezo ya kubashiri. Sijui ni kwasababu kila mmoja amekata tamaa ya kufanikiwa kwa kutumia akili na nguvu zake mwenyewe? Au ni vile tu kumekuwa na wingi wa watu...
Salaam wadau..nahitaji secretary katika ofisi yangu iliyopo Dsm.Vigezo Muhimu no kama ifuatavyo:
1.Lazma awe amesomea kozi ya secretarial kwa ngazi ya cheti na kuendelea.
2.Awe na ujuzi wa...
Assalamu alaykum waungwana. Natafuta mpishi mzuri anayeweza kupangilia menu za aina mbalimbali kwa ajili ya mgahawa wa kisasa ulioko Kinondoni. Mwenye taarifa au contact za mtu kama huyo anaweza...
Habari wakuu.
Anyone who can help me with gold detector machine au exploration companies zinazokodisha mashine naomba tuwasiliane. Napatikana kanda ya ziwa.
Mimi mwalimu nimemaliza chuo mwaka jana natafuta nafasi ya kufundisha (kuajiriwa) katika shule yeyote ndani ya Tanzania hii nafundisha literature & language
Nimewasilisha ....
Could you believe it?
My brother invested money into some multi-level marketing scheme and lost all his money. Aw!
I told him. I warned him. But he wouldn’t listen.
“This platform will shake...
Punguzo maalumu za bei za magari kutoka Japan paka Tanzania wahi sasa
Tafadhali wasiliana nasi kupata utaratibu wa kuagiza gari kwa bei nafuu na kwa muda mfupi Zaidi
MAHALI – QUALITY CENTRE-...